Menu
Mon panier

En cours de chargement...

Recherche avancée

Mambo ya Kufanya Saa Yako Ikifika

  • WMG Publishing

  • Paru le : 24/02/2023
Saa yako kufika haimaanishi saa katika damu na nyama, kama vile saa saba mchana au saa ya kula chakula bali inamaanisha saa katika ulimwengu wa roho.... > Lire la suite
2,99 €
E-book - ePub
Vérifier la compatibilité avec vos supports
Saa yako kufika haimaanishi saa katika damu na nyama, kama vile saa saba mchana au saa ya kula chakula bali inamaanisha saa katika ulimwengu wa roho. Saa ni kipimo cha muda, katika ulimwengu wa mwili na ulimwengu wa roho pia, lakini katika ulimwengu wa roho saa inasomwa kutokana na matukio. Kwa mfano, watu wanaweza kusema huyu amepona ajali mbaya kwa sababu saa yake haijafika. Na ninaposema mambo ya kufanya saa yako ikifika siyo lazima iwe saa ya kufa kwako lakini saa au siku ya kufikwa na jambo fulani ambalo limekuwa likisubiriwa katika ulimwengu wa roho.
Saa yako ikifika katika ulimwengu wa roho huwa ni kama mtihani pia. Ukivuka kwa ufaulu unaenda kiwango kingine cha juu zaidi na ngazi njema zaidi katika Kristo Yesu. Katika kitabu hiki utajifunza mambo ya kufanya ili uweze kufaulu mtihani wako saa yako ikifika.

Fiche technique

  • Date de parution : 24/02/2023
  • Editeur : WMG Publishing
  • ISBN : 8215127223
  • EAN : 9798215127223
  • Format : ePub
  • Caractéristiques du format ePub
    • Protection num. : pas de protection

À propos de l'auteur

Biographie de Msafiri J. Mwaikusa

MSAFIRI J. MWAIKUSA is an assistant pastor at a local Assemblies of God church in Dar es Salaam, Tanzania, where he lives with his wife, Tracy, and their children. He also hosts a weekly podcast named Biblia Inasema Usiogope which can be listened to through Radio Public, Google Podcast, Apple Podcast and other platforms. He holds a bachelor degree in Bible and Theology from the Global University of Springfield MO, U.
S. A;Msafiri has an MBA and business experience in food industry and publication. He also has a teaching experience from the University of Dar es Salaam where he obtained his Bachelor of Science in Molecular Biology and Biotechnology.
 Msafiri J. Mwaikusa - Mambo ya Kufanya Saa Yako Ikifika.
Mambo ya Kufanya Saa Yako Ikifika
2,99 €
Haut de page